Kulikoni Iron Lady Zakhia Meghji

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Leo nimeona picha ya wana magamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi, kilichonishtua ni hali ya aliyekuwa Iron lady wakati fulani Zakhia Meghji, kawa mdogo si kama yule mama aliyekuwa na siha au tuseme ndiyo kufanya diet huko jamani, kila la kheri Zakhia Meghji endeleze libeneke la kujivua gamba huko magambani


 
 
Back
Top Bottom