Jokate afanya uzinduzi mkubwa wa game lake kwenye Android Playstore (Jokate bottle-spin)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mwanadada mrembo Jokate Mwegelo afanya uzinduzi wa nguvu wa game lake la simu za mkononi za android na kuwepo playstore na kufanya sherehe ya nguvu. Jina la game linaitwa "Jokate bottle spin" na umati wa Watanzania jana kulipokea vizuri walipotoka kujumuika pamoja kwenye birthday ya mtanashati Millard Ayo hapo juzi.


 
 
Back
Top Bottom