Je, ni kweli unaweza kufanya mapenzi na muathirika wa UKIMWI na usiambukizwe?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Unaweza kufanya mapenzi na mwanamke aliye na virusi vya ukimwi huku akiwa anatumia dozi na usipate maambukizi yake kama utayafanya haya yafuatayo?

  • Ukamwandaa huku yeye sehemu zake zikiwa tayari zimeshalowa au kulainika
  • Kama ukimwingilia lakini katika uume wako hakuna michubuko yoyote ile
  • Kama tu utashiriki nae mara moja tu (kumpiga bao moja tu)
  • Kama una damu ya kundi o (group o)
Nimeuliza yote hayo juu kwakuwa nina rafiki yangu wa karibu kabisa ameshatembea na wanawake wawili ambao ni waathirika kabisa wa vvu / ukimwi huku mmoja akiwa anajua na mwingine hakujua lakini kila alipoenda kupima ameonekana ni mzima na hana maambukizi yoyote lakini wale wanawake wawili wote wameshamthibitishia kuwa ni waathirika mmoja huu ni mwaka wa saba (7) na mwingine huu ni mwaka wake wa nne (4).


Na cha kushangaza tena kuna mwanamke mwingine ambaye ameshamtongoza na ni mwathirika lakini kesho wamepanga kwenda kufanya mapenzi bila ya yeye kutumia kinga ya condom kwani huwa siyo mtumiaji wa condoms hata kama akiambiwa kuwa mwanamke fulani ni mwathirika. Magonjwa ambayo huwa anayapata mara kwa mara ni haya tu ya zinaa hasa gono na mara chache sana kaswende ila vvu / ukimwi huwa hapati.


Wenye utaalam wa mambo ya tiba na mliobobea katika masuala mbalimbali ya matibabu tena hasa ya huu ugonjwa wa vvu / ukimwi tafadhali hebu tuwekeni sawa juu ya hizo nadharia hapo juu kutokana na ukweli au uzooefu wenu.


 
 
Back
Top Bottom