Jackiline Wolper na Harmonize warudiana, wafanya interview clouds

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jackiline Wolper na Harmonize wamerudiana na wamefanya interview clouds radio kwenye XXL, wamedai kulikuwa na misunderstanding ila sasa wamerekebisha


Harmonize anadai kuna nyimbo amefganya video na Wolper atatokea kwenye video hiyo


Kama kawaida jina la msanii controversial Harmorapa liliibuka kwenye interiew hiyo amabapo wolper ameulizwa anajisikiaje ana boyfriend anayefananishwa na jamaa ambaye huyo jamaa anafananishwa na nyani?..... Akashindwa kujibu


 
 
Back
Top Bottom