P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:06 PM #1 Jamani wanajamii naomba kueleweshwa kama kuna uwezekano wa kutumia offer ya kiwanja kama dhamana ya kukopa fedha bank. Je utaratibu ukoje? Natanguliza shukrani?
Jamani wanajamii naomba kueleweshwa kama kuna uwezekano wa kutumia offer ya kiwanja kama dhamana ya kukopa fedha bank. Je utaratibu ukoje? Natanguliza shukrani?