Hivi Kutumia Kahawa Kwa wingi kuna Madhara yeyote?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:06 AMReplies 0 · Views 4
#1
Jamani eeh, mi nimekuwa nikisikia Maneno maneno kwamba ukitumia kahawa kwa sana unapata matatizo ya Moyo,, na mimi bila Kahawa Asubuhi bado hujaniambia yaani kila siku,, nanatumia Strong Cofee,, sasa naomba ushauri ili kama inamadhara nianze mazoezi sasa hivi ya kuacha


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread