- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Jamani eeh, mi nimekuwa nikisikia Maneno maneno kwamba ukitumia kahawa kwa sana unapata matatizo ya Moyo,, na mimi bila Kahawa Asubuhi bado hujaniambia yaani kila siku,, nanatumia Strong Cofee,, sasa naomba ushauri ili kama inamadhara nianze mazoezi sasa hivi ya kuacha