Elimu: Fundisheni Software Coding mashuleni

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Tanzania tunaomba mfundishe coding kwenye mashuleni na kama hatuna walimu wa kutosha tuombe msaada kwa India. Kazi nyingi zijazo hasa kwenye engineering, design, accounting... Na ubunifu utatokana na kujua coding hii ni lugha ya computer. Vilevile tuelewe 66% ya Watanzania kwasasa wapo chini ya miaka 25 ni wakati wa kuwaandaa hawa. Hapo chini message ya CEO wa Apple


Apple CEO Tim Cook: Learn to code, it's more important than English as a second language


 
 
Back
Top Bottom