Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".


Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kuwa "The baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.


Kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.


Karibuni sana wadau.


 
 
Back
Top Bottom