Clouds Radio: Kutoshiriki Fiesta kwamnyima tuzo Diamond

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habarini wana jamvini.

Leo toka asubuh nimekuwa nikisiliza vipindi mbali mbali katika radio yetu pendwa ya clouds fm, na moja ya vitu nilivosikia kutoka kwa watangazaji mbali mbali wa station hyo ni kutoa sababu kwanini wasanii wetu ali kiba na diamond wamekosa tuzo.


Sababu walizotoa ni kwamba ili kuweza kupata kura unapaswa kuwa karibu na mashabiki nchi nzima, na kwamba njia ya kuwafikia mashabiki kiurahsi ni kupitia tamasha la Fiesta ambalo lipo nchi nzima. Diamond na ali kiba kutoshirik fiesta imemnyima kura nyingi walisema watangazaji hao.

Sasa mi celewi kama kweli hii inaweza kuwa sababu, pia inaonekana clouds wanaumia kutokuwa na wasanii hawa katika fiesta. Je ndo dalili za kumshusha mond zimeanza


Mi naona kuna mambo mengi nyuma ya pazia kama alivosema eddykenzo, kuna harufu ya mchezo mchafu. Pia diamond inaonekana wazi wasanii wenzake hawafurahishwi na mafanikio yake.


Vote for Kiba best african act
 
Back
Top Bottom