Big up crdb kwa simbanking

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ebwana me nawapa Big up sana CRDB kwa huduma yao mpya ya SIMBanking kwani ni ya ukweli kinoma. Haina mambo ya kujiunga kwa fomu na makaratasi kibao coz kitu ni hewani tu, unatwanga *150*03#, kitu na box.


Me naikubali zaidi coz ina mpango mzima wa kuweza kutoa mkwanja kwenye akaunti yangu na kulipa M-PESA, AIRTEL-MOney fasta. Kiukweli hii imefanya maisha kuwa rahisi sana.


Pamoja Sana CRDB.


 
 
Back
Top Bottom