Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wakuu,


Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml. 15 mpaka 20.


Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.


Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi siyo mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.


Asanteni


 
 
Back
Top Bottom