Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari zenu wakuu,


Napenda kuingia katika hii biashara ya mchele kati ya Morogoro na Shinyanga wapi kuna mchele mzuri na wapi kuna unafuu wa bei kipindi cha mavuno? Bei kwa gunia inakuwaje muda wa mavuno? Mavuno yanaanza mwezi gani?


Nisaidieni wakuu.


 
 
Back
Top Bottom