Biashara ya Mchanga

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu mpo?


Kuna biashara ya kuuza mchanga kwenye malori, kuna watu wananunua pande la ardhi lenye mchanga, kisha wanaomba kibali cha kuuza mchanga. Jamaa anakaa ktk pande lake akikusanya hela kwa kila Lori. Inalipa vizuri na italipa zaidi huko mbeleni. Mapande bado yapo mengi kando ya jiji letu la Dsm.


 
 
Back
Top Bottom