Biashara ya gesi ukaa

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ndugu wanajamvi! Ninaomba msaada wa kitaalamu ikiwezekana kupata mawasiliano ya wataalamu wa kudhaminisha kiasi cha hewa inayozalishwa kutokana na miti ya kupanda na pia kuniunganisha na watu ambao wananunua hiyo gesi ukaa, ili waweze kununua kutokana na kiasi fulani cha mazingira ninayotunza! Kwani mzee wangu ana ekari zaidi ya mia nne za miti ya kupandwa zenye hati. Lakini haijafikia hautua na kuvunwa.


 
 
Back
Top Bottom