- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari za sahiz. Ningependa kujua HV hii biashara ya cable TV IPO kihalali (tcra) wameiifhinisha? Maana ninachoona ni kama wanawanyonya weny makampun ya ving'amuzi(Azam, zuku, nk) na kama IPO kihalali Nataman kuiazisha. Naomba muongozo kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app