Bernard james wa star tv....

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ni moja kati ya watangazaji chipukizi wa tv nchini na anajitahidi lakini sipendi tabia ya star tv ya kuwapanga watangazaji katika vipindi mchanganyiko mara sports news, mara tuongee asubuhi, mara miziki, mara kusoma hard news huyohuyo.....


 
 
Back
Top Bottom