Aunty Ezekiel na Kashfa ya kuwatumia email za mapenzi Wabunge

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mcheza filamu wa Bongo, Aunt Ezekiel, ambaye amekumbwa na kashfa ya kuwatumia email za mapenzi wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, ameibuka na kuelezea ukweli kuhusu sakata la email hizo katika mahojiano maalum aliyoyafanya na GPtz. Com cheki video umsikie mwenyewe.


 
 
Back
Top Bottom