Airtel na imebadilisha jina tena kuwa spanco?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Tulifiwa na ndugu yetu aliyekuwa anafanya kazi Airtel, na walipokuja wafanyakazi

Wenzake marehemu tukashangaa wanajiita toka kampuni ya Spanco. Je tayari ni

Mwendelezo ule ule wa kubadilisha jina kila baada ya miaka mitano halafu Rais

Anaenda kuzindua? Mwenye taarifa zaidi atujuze.




 
 
Back
Top Bottom