Yuko wapi Bahati Tweve?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:04 AMReplies 0 · Views 0
#1
Nakumbuka kipindi fulani(2002-2004), kulitokea mgomo pale UDSM.

Bwana Bahati aliyekuwa mwanafunzi wakati ule alitajwa na speaker bungeni kwamba alikuwa kinara wa vurugu hizo.

Kulingana na namna ile taarifa ilivyotolewa, niliona ilikuwa na mchanganyiko wa siasa kidogo. Wahanga wa kufukuzwa vyuo huwa hawafutiki kichwani kwangu kirahisi.

Hivi yuko wapi na anafanya nini mwana harakati Bahati? Naomba kujua.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread