William Shao nimemkubali

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jana kupitia channel 10 kwenye kipindi cha tutafika? Mwandishi william Shao alikuwepo akichambua kitabu chake hicho, mwandishi kweli ana point za kutosha niliona mpaka Dr Lwaitama alikuwa kimya akisikiliza point zake.


 
 
Back
Top Bottom