Watalii 100 Kutoka Uswisi watua nchini kutembelea vivutio mbalimbali

PamojaForums · Sep 5, 2026 at 5:17 PMReplies 0 · Views 0
#1
Siku chache baada ya Watalii 300 kutoka Australia kutembelea nchini kwa mara moja, kundi lingine la Watalii zaidi ya 100 kutoka Uswis limewasili nchini na kutembelea vivutio vya Wanyama katika hifadhi za Taifa za ukanda wa kaskazini.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread