- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wadau naombeni mnijulishe wapi nitapata mashine za kufyatua tofali kwa kutumia clay soil. Nataka portable machine zenye kutumia engine ya diesel.
Naomba kama mnipe na bei pia wenye kufahamu. Mi nipo Dar es Salaam.
Naomba kama mnipe na bei pia wenye kufahamu. Mi nipo Dar es Salaam.