Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

PamojaForums · Sep 5, 2026 at 4:23 PMReplies 0 · Views 0
#1
Baadhi ya mahitaji ya wadau:

Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. kwa sababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.


Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.


Baadhi ya majibu/maelekezo ya wadau:


 

Original publication date: 2026-09-05
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread