- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wadau, naomba kwa wenye ujuzi/wazoefu wa biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo (kama vile madawa, mashudu n. K) anijuze taratibu za kufuata ili kuanzisha duka ikiwa na vigezo vya kitaalamu kama vipo.
Natanguliza shukrani zangu.
Natanguliza shukrani zangu.