Habari Wakuu
Gari za scania aka Mende zinazotumika sana kubeba mchanga na kokoto zina ujazo gani (volume)?
Kama nitapata mchanganuo kama kuna zenye ujazo tofauti itakua vyema.
Asante.

No reactions yetReply / React