Tovuti ya minada ya anzishwa hapa Tanzania

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:06 AMReplies 0 · Views 3
#1
Kama nilivyo wa habarisha hapo nyuma kwamba kuna tovuti ya minada niliiona katika harakati zangu za kubofya bofya hapa na pale kwenye mtandao lakini ilikua bado aija anza. Natumai wengi mlitembelea link nakukuta message ya kwamba "4 days left to take on a new look"


Leo baada ya siku 4 nimetembelea tena hii tovuti www.auctionmart.co.tz nakukuta kweli imeaanza. Nimeona ni kitu ambacho kweli kiki endelezwa kinaweza kikawa na manufaa kwa Wantazania.


Nitaendelea kubofya nikitafuta teknoligia nyingine za biashara na kuziwasilisha kwenye hili jukwaa ili wote tujadiri tuone ni namna gani zita weza saidia biashara hapa nchini


Wenu ktk kujenga Taifa



 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread