Tatizo la maumivu ya moyo

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 9:23 AMReplies 0 · Views 4
#1
Wadau habari za muda huu..... Mwenye kufahamu hili naomba anisaidie, MWANZONI NLIKUA NA MAUMIVU KWENYE MOYO, Yaani YALIKUA YANAKUJA KAMA KICHOMI NA KUONDOKA..... Lakini hali hii ikaisha. ILA SASA HIVI IMERUDI KIVINGINE KABISA Yaani TANGU JANA USIKU NASIKIA MOYO UNAUMA BILA KUACHA, HII HALI KIUKWELI INANITESA SANA, NIPO KIJIJINI NA LEO ASUBUHI NIMEENDA ZAHANATI NKAPEWA DAWA ILA HAZIJAONESHA MAFANIKIO............. NAOMBENI MSAADA TAFADHALI


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread