Sep 6, 2026 at 11:04 AM#1Wakuu ukweli mtoto wangu mwenye umri wa miaka 8 ana tatizo kubwa la kuto kula na hii inatusumbua sana sisi wazazi wake wakuu naomba ushauri ama mwenye kujua tiba atujuze. Nawasilisha No reactions yetReply / React