Tanzania Vs Uganda (Ukuaji wa UChumi na Bei za Shiling Tz na Shilling UG)

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 6:23 AMReplies 0 · Views 4
#1
Nimekuwa nikifuatilia ukuaji wa uchumi wa daftari wa nchi zetu za Africa Mashariki hasa (Tanzania, Kenya na Uganda).


Leo naomba wajuzi watusaidie kujua zaidi..


Uchumi wa daftari wa Tanzania unakuwa kwa 7% kwa mwaka wakati Uganda 6.4% kwa mwaka..


Kubadilisha Fedha Uganda miaka 3 hivi walikuwa.30 Tsh kwa 1 Ush. Sasa.80 Tsh kwa 1Ush.


Naomba kujua zaidi kwa nini fedha yao inazidi kuwa nguvu zaidi yetu? Uwiano wa kukua kiuchumi na nguvu ya pesa.


Source


https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html

&

https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/ug.html


Nawakilisha


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread