Tanzania tunahitaji noti za sh 100, 000/=

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:01 AMReplies 0 · Views 0
#1
Wadau kutokana na huu mfumuko wa bei na kushuka ''purchasing power'' nafikiri

Tunahitaji noti za sh 100, 000 zichapishwe kuondoa mzigo wa minoti. Sijui itakuwa na

Implication gani kwenye uchumi, waliobobea kwenye hayo maswala naomba mtudadavulie!


Nawasilisha na pia nawatakia mwaka ujao wenye mafanikio tele.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread