Real Madrid leo atamshinda Juventus

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 7:46 AMReplies 0 · Views 3
#1
Wakuu nikiangalia ilivo real Madrid na kikosi chake kipana n'a nikizingatia ndiyo kumbe liliobakia wao msimu huu kugombania maana kuingine hamna nafasi ya kuchukua league ninaona lazma juventus afe Léo nyumbani


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread