Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:06 AMReplies 0 · Views 0
#1
Kwa ninavyojua Bank za kawaida e. G. CRDB, NBC etc. Zimesajiliwa B. O. T na zimedeposit fedha kiasi fulani B. O. T just encase zikafilisika fedha hizo hutumika kuwafidia wateja wao.... Wasiwasi wangu ni juu ya haya makampuni ya simu yanavyo offer some banking services (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) na Watanzania tumezichangamkia huduma hizi kwelikweli!!... 1. Hivi haya makampuni yamefuata utaratibu kama mabenki?... 2. Wamedeposit amount kiasi gani B. O. T as their collateral?... 3. Endapo kama yakifilisika Watanzania hatutapata hasara kweli? Usalama wa pesa zetu upoje?... 4. Wanalipa kodi kama mabenki au kama makampuni ya simu? Inabidi tupate mchanganuo kidogo hapa! Tujadili..


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread