NMB Chap Chap Account

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 2:03 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari za muda na wakati huu wapendwa


Nimewahi kusikia kuwa hii aina ya Bank account (Nmb chap chap Account) huwa haina makato kabisa labda wakati wa Ku withdraw tu Lakini naskia ukiwa unafanya saving kupitia hii account. Haitakiwi kuzidi 5m. Ikizid hapo wanaifanya hii account kuwa kama account zingine... Na wanaanza kufanya makato ya mwisho wa mwezi


Je, kuna ukweli wowote ktk hili?


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread