Nisaidieni nifanye biashara gani? Nina mtaji wa 3, 000, 000/=, nipo Himo-Moshi

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 1:49 AMReplies 0 · Views 0
#1
Waheshimiwa wana JF.


Wengi wanasema wanashidwa kuanzisha biashara kwa sababu hawana mitaji lakini mimi ni kinyume chake nina mtaji wa tsh 3, 00, 000/=, mimi ni mwalimu naomba msaada wa mawazo ya biashara ambayo naweza kuifanya himo-moshi.


Biashara iwe ile ambayo angalau kwa siku lazima nipate wateja.


Asante wadau.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread