Nimesikia kuna kifaa cha kuangalia siku za hatari kwa msichana

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 6:22 AMReplies 0 · Views 4
#1
Habari wajumbe!

Nimesikia kuna kifaa cha kuangalia siku za hatari kwa msichana, kujua kama yai linakaribia kushuka au la,

Naomba ufafanuzi kinaitwaje? Kinafanyaje kazi, na vinapatikana wapi?.


Thanks


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread