Nifanyeje jamani!!!!!

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:05 AMReplies 0 · Views 3
#1
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 49, tangu mwaka huu mwezi wa sita amekuwa na tatizo la kutosimamisha uume wake, yaani nashindwa hata kuelewa kwa nini, au ni sababu ya umri? Madaktari nisaidieni!


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread