Nauza story za kuchezea muvi..(bongo movie script)

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:04 AMReplies 0 · Views 4
#1
Je. Wewe ni muigizaji Au mfadhili wa kikundi chochote cha sanaa ya bongo muvi?

Wahi sasa kwani nauza story za kuchezea muvi kwa bei chee kabisa.

Zipo story za muvi za kuchekesha, mapenzi, maisha, mateso, manyanyaso na hata za kusisimua na kukuliza kwani mie ni mwandishi ambaye nimeshaandikia story nyingi katika gazeti la Mwananchi ikiwa na story ya SITAKI TENA.

Kama utanihitaji usisite ni Pm au nipigie,

0713133633

Andrew carlos.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread