Nataka kuwa wakala wa LUKU (TANESCO)

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:50 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari za muda huu! Kwa heshima na taadhima napenda kuleta wazo langu mezani ili nipate ufumbuzi au uwelewa wa kutosha kabla ya kutenda (survey).


Mimi ni mwajiriwa ktk sekta binafsi nna wazo la kufungua ofisi ya uuzaji wa lishe (nafaka) na kuwa wakala wa uuzaji wa luku kupitia mashine za tanesco wenyewe na siyo max malipo n. K kwani naamini mashine hizo huwa network inasumbua sana.


Kuhusu lishe(nafaka kwa ujumla wake) elimu nimepata tayari ya kutosha kunifanya nianze kutenda.

Ningependa kujua taratibu za kufata kuwa wakala wa luku tanesco, gharama za msingi elekezi. Naomba muongozo!


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread