Nataka biashara itakayonisomesha.

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:05 AMReplies 0 · Views 0
#1
Habari za leo imani yangu muwazima wa afya, nami namshukuru mungu naendelea vizuri. Naomba maoni yenu, me ni mwanafunzi kidato cha 5 ktk shule moja ya serekali hapa mjini znz, tangu nimefaulu nimekuwa nikajitegemea kwa gharama zote za kusoma pmj na matumizi madogomadogo, nimejipigapiga kutafuta kiasi cha pesa ili uwe ndiyo mtaji, hadi sasa nimefanikiwa kupata Tsh.100, 000 nataka nifanye biashari ila sijuini biashara gani itaniendesha bila ya kuathiri masomo yangu. Ahsanteni


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread