Nina wazo la kufungua saluni ya kiume, lakini sijui mashine ya kunyoa ni bei gani, kiti na kioo, kuhusu redio nitanunua sabufa, naombeni mawazo ndugu zangu na bado kijana atakaye kuwa kinyozi huwa analipwaje?[emoji120] sharing is caring sitaki kukurupuka.
No reactions yetReply / React