Naomba kujua dawa ya Malaria inayofaa kwa Mama anayenyonyesha

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:20 AMReplies 0 · Views 4
#1
Habari wakuu,


Samahani naomba kujua ni dawa ipi ya kutibu Malaria inayoruhusiwa kutumiwa na Mama anayenyoshesha?


Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread