Naomba kufahamishwa kuhusu soko la mbuzi DSM

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:41 AMReplies 0 · Views 0
#1
Naomba kufahamishwa bei ya mbuzi WA size ya Kati na wakubwa, naweza kusuply zaidi ya mbuzi 200 kwa week.


Nipeni bei na wateja au Madalali wa vingunguti tufanye biashara.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread