P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Mar 18, 2026 #1 Deadline ni 4 Aprili 2026 Maombi yote watumwe kwenye email hapo chini ni barua ya maombi tu ndio inayohitajika hambal.mkangwa@nbc.co.tz
Deadline ni 4 Aprili 2026 Maombi yote watumwe kwenye email hapo chini ni barua ya maombi tu ndio inayohitajika hambal.mkangwa@nbc.co.tz
F Florid Ismail Laizer New member Joined Mar 24, 2026 Messages 1 Mar 24, 2026 #2 Habari boss, Mimi fani yangu ni dereva,kama nitahitajika na kutakua na kazi hii naomba mnipe kipaumbele,ni mchapa kazi hodari na mtunzaji mzuri wa nyara za ofisi. Ni matumaini yangu ofisi yako italifanyia kazi ombi langu. NBC benki yetu
Habari boss, Mimi fani yangu ni dereva,kama nitahitajika na kutakua na kazi hii naomba mnipe kipaumbele,ni mchapa kazi hodari na mtunzaji mzuri wa nyara za ofisi. Ni matumaini yangu ofisi yako italifanyia kazi ombi langu. NBC benki yetu