My shop software - Mfumo wa usimamizi wa biashara yako

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:35 AMReplies 0 · Views 0
#1
Je bado unatumia daftari kwa ajili ya kuhifadhi mauzo, matumizi, au umekumbuna na kuibiwa na wafanyakazi wako kutokana na kutokuwa na taarifa sahihi juu ya stock au mauzo ya duka lako la dawa (pharmacy), mini supermarket, duka la nguo au viatu, hardware, saloon na mengineyo?


Ama umeshindwa kujua dhamani ya bidhaa zako zote kabla na baada ya mauzo, au bidhaa zinagharibia (expire) bila wewe kuwa na taarifa?


Inawezekana umeshindwa kufahamu faida, matumizi, mauzo ya siku, wiki, mwezi au hata mwaka na kusimamia vyema kumbukumbu za unao wadai,


Suluhisho la hayo yote ni programu maalumu ya computer ya myShop, Itakayokusaidia kurahisisha na kuboresha usimamizi wa biashara yako


Programu hii inaweza kuwekwa kwenye computer/laptop yoyote ambayo utakuwa ukiitumia dukani kwako kwa ajili ya usimamizi wa shughuli za hapo dukani.


Tunapatika kwa kutupigia/whatsapp/sms 0717 705 916 (KWA WAFANYA BIASHARA WA Dar es Salaam-PWANI-MOROGORO-MTWARA-LINDI-Zanzibar) na 0655 568 588 (KWA WAFANYA BIASHARA WA ARUSHA-MOSHI-MANYARA-SINGIDA-DODOMA)


SHARE NA RAFIKI AU NDUGU YAKO TAARIFA HII ILI NAYE ABORESHE UTENDAJI NA USIMAMIZI KATIKA BIASHARA YAKE KISASA ZAIDI.


TEMBELEA PAGE YETU YA "myShop Software" kwa taarifa zaidi au tupigie/sms/whatsapp


MyShop Software - Software kwa duka lako!


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread