Msaada khs condoms.. N mimba

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:05 AMReplies 0 · Views 4
#1
Swali la kwanza: nini hasa kinachochangia kupasuka kwa condoms wakati wa tendo la ndoa??

Swali la pili: by any chance mwanamke anaweza kupata mimba akiwa ktk siku ya 22 au 23 ktk mzunguko wake??


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread