Msaada juu ya biashara ya burger

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:55 AMReplies 0 · Views 4
#1
Wasalaam Wanajf,


Ninatamani nifanye biashara ya burger sasa nimejiuliza maswali yafuatayo:


  1. Inabidi uwe na mtaji wa kiasi gani (kwa kuanzia)?
  2. Ni vitu gani vinavyohitajika?
  3. Risk za biashara hii ni zipi?
Natanguliza shukrani!


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread