Msaada biashara ya kuuza na kunua bia kwa bei ya jumla

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 10:41 AMReplies 0 · Views 4
#1
Jaman kwa mweny kujua juu ya biashara ya kununua bia company ya BALIMI na kuuza huwa ikoje na unapataje mzigo na kwa bei gan msaada tafadhali kwa mweny kujua


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread