Movie Reviews

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 1:25 AMReplies 0 · Views 0
#1
Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni.


Tuanze na Hangover 2. Kwa mujibu wa Rotten Tomatoes naona critics wengi wameiponda, binafsi sijaiona bado kwa hiyo siwezi kutoa reviews mpaka nitakapoiona ila nitaweka baadhi ya comments kutoka Rotten Tomatoes wale mlioiona mnaweza kuchangia zaidi.


I can't believe how precisely everything does happen again, except that what was fresh and surprising in Las Vegas turns rancid and predictable in Bangkok, where yet another wedding is scheduled to take place. Joe Morgenstern Wall Street Journal

Full Review


One of the most uninspired and unoriginal sequels you'll ever see. Or not see, if you're lucky. Richard Roeper

Richard Roeper. Com

Full Review


The Hangover Part II - Rotten Tomatoes


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread