Miss Kenya V/S Miss Tanzania

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:08 AMReplies 0 · Views 4
#1
JF niliangalia miss kenya na kwa aliyebahatika kuiona lol wenzetu kidogo naona wame advance na mabinti wanaconfidance sijawahi kuona


Watoto wanajieleza kama hawana akili nzuri mengineyo yalikuwa makosa madogo madogo


Mbona warembo wetu wa Kitanzania upeo wa kujieleza ni mgumu sana???


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread